JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Dkt.Mpango aitwisha mzigo UWT Pwani

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip Isdor Mpango ,amemuagiza Mwenyekiti wa UWT Mkoani Pwani Zainabu Vullu kuhakikisha anavunja makundi yanayoendelea ndani…

Breaking News: Watu 17 wafariki, 14 ni wa familia moja

Watu 17, ambapo 14 ni wa familia moja, wamefariki dunia na wengine 12 wamejeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Magira Gereza, Tarafa ya Mombo wilaya ya Korogwe mkoani Tanga. Akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo Mwenyekiti wa Kamati ya…

Shigela:Nendeni mkatekeleze majukumu yenu kwa kufuata Sheria

Wakuu wa Wilaya ya Magu na Ukerewe wameapishwa leo kufuatia uteuzi uliofaywa na Rais wa Jamuhri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassani Januari 25,2023. Uapisho huo umefanyika leo Feburuari 3,2023 kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Akizungumza…

Serikali yataja mambo sita ya kuondoa tatizo la ajira nchini

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu,Patrobas Katambi, ametaja mambo sita yanayofanywa na serikali ili kuondokana na tatizo la ajira nchini. Katambi ameyasema hayo leo Februari 3, 2023 bungeni alipokuwa akijibu swali…

DC Haniu aiagiza TUWASA kufanyakazi kwa bidii

Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Jaffar Haniu, amefanya ziara katika chanzo cha maji Mbaka-Ikama kilichopo kata ya Itagata Barabara ya Katumba -Mwakaleli. Akiwa katika chanzo hicho Haniu ameuagiza uongozi wa Mamlaka ya Maji Tukuyu Mjini (TUWASA) kuharakisha upanuzi wa chanzo…