JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

‘Nguzo za ukubwa mita 13 zinapatikana nchini’

Na zuena Msuya,JamhuriMediaTanga Kamati ya kuishauri Serikali namna ya upatikanaji wa Nguzo bora za Umeme za Miti, imesema kuwa nguzo za miti za umeme zenye ukubwa wa mita 13 zinapatikana nchini tofauti na inavyoelezwa na baadhi ya wakandarasi wanaotekeleza miradi…

Bomoabomoa yazikumba nyumba 152 Pwani, wakazi wajihifadhi shuleni

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Kibaha Mkuu wa Mkoa wa Pwani alhaj Abubakari Kunenge, ametolea ufafanuzi sakata la bomoabomoa ya nyumba katika kitongoji cha Matuga, Kata ya Kawawa na Zegereni wilayani Kibaha na kusema endapo kama hawajaridhika na maamuzi ya Baraza la Ardhi…

Waziri Aweso ataka mtandao wa maji kuongezwa Buswelu

Na Mohamed Saif,JamhuriMedia Waziri wa Maji Jumaa Aweso (Mb) ameielekeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) kuanza mara moja kuongeza mtandao wa usambazaji maji Kata ya Buswelu Wilayani Ilemela Mkoani Mwanza. Ametoa maelekezo hayo Februari 4, 2023…

Pwani yafanikiwa kupunguza tatizo la udumavu, utapiamlo

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Mkoa wa Pwani umekuwa mkoa wa sita kati ya mikoa 26 katika masuala ya lishe, ikiwa ni hatua nzuri ya kupunguza tatizo la udumavu , utapiamlo hususan kwa watoto. Akizungumza katika kikao Cha lishe kimkoa ,Mkuu wa…

Rais Mwinyi:Kituo cha upandikizaji mimba Kairuki Green IVF kupunguza changamoto ya ugumba nchini

Na WAF-Dar es Salaam Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Kituo cha Huduma za Upandikizaji Mimba Kairuki Green IVF, Bunju kitatatua changamoto ya Watanzania kwenda nje ya nchi kwa gharama kubwa kufata huduma…