Category: Habari Mpya
EWURA yatoa msaada wa vifaa tiba ya mil.5.2/- Nyamagana
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetoa msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi milioni 5.2 kwa hospitali ya Wilaya ya Nyamagana ili kuboresha huduma za afya za akina mama wanaojifungua katika hospitali hiyo. Msaada…
Tetemeko la ardhi Tanga mtaalamu aeleza haya
Tetemeko la ardhi linalokadiriwa kuwa na ukubwa wa 4.8 katika kiwango cha Richter limeripotiwa kutokea mkoani Tanga. Tetemeko hilo lililotokea takribani kilomita 33 kutoka usawa wa kisiwa cha Pemba jana Februari 08, 2023 lilipiga katika maeneo ya fukwe za Kayumbu…
Majaliwa:Serikali iko makini na inafuatilia miradi yote
…………………………………………………….. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan iko makini na itaendelea kufuatilia miradi yote inayotekelezwa katika maeneo mbalimbali nchini ili kudhibiti matumizi mabaya ya mali ya umma. Pia Majaliwa…
Breaking News:Abiria 12 wafariki,50 kwenye ajali ya basi la Frester
Watu 12 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi la abiria la kampuni ya Frester Iililokuwa likitoka Bukoba kwenda Dar es Salaam kugongana uso kwa uso na lori lenye shehena ya saruji lililokuwa likitokea Dar es Salaam kuelekea…
TEF yakerwa na kauli ya Serikali, yabisha hodi Ikulu
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limepokea kwa mshituko na masikitiko makubwa kauli ya Serikali kupitia kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa kuwa Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Huduma za Habari (MSA…
Mume amuunguza mke na maji ya moto,kisa kuchelewa kuwasha moto
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani,Abubakari Kunenge amekemea vikali vitendo vya ukatili vinavyoendelea kushamiri ndani ya mkoa huo baada ya Neema John , kulazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Tumbi baada ya kufanyiwa ukatili na mumewe…