Category: Habari Mpya
Serikali yaainisha mpango wa kusaidia wachimbaji wadogo nchini
Waziri wa Madini Mhe.Anthony Mavunde ameainisha mpango wa Serikali wa kusaidia utatuzi wa changamoto zinazowakabili wachimbaji wadogo nchini. Waziri Mavunde ameyasema hayo leo Mei 9, 2024 wakati akijibu swali la Mhe. Dkt. Christine Ishengoma Mbunge wa Viti Maalum aliyetaka kujua…
Magari, abiria waliokwama Lindi kwa siku sita waanza kuendelea na safari
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lindi Magari ya mizigo, mabasi na magari mengine madogo yaliyokwama kwa siku sita katika barabara ya Lindi-Dar es Salaam eneo la njia nne (Mikereng’ende) hadi Somanga yakitokea Lindi kuelekea Dar es Salaam yameanza kuruhusiwa kuendelea na…
Kifo cha utata, mtoto miaka 8 akutwa amekufa ndani ya shimo la maji taka
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha MTOTO Angel Mseven (8) mwanafunzi wa darasa la pili shule ya msingi Carisa Mwendapole, Kibaha mkoani Pwani amekutwa amefariki dunia ndani ya shimo la maji taka. Alithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoani…
Madiwani Msalala wampa tano mkurugenzi wa halmashauri hiyo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Shinyanga BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala, limempongeza mkurugenzi wa halmashauri hiyo, Khamis Katimba kwa utekelezaji wa miradi ya maendeleo, ukusanyaji wa mapato, ustawi wa wananchi na uboreshaji wa utawala bora. Kwa niaba…
Madereva walioweka magari ving’ora bila kibali waviondoe haraka – Deceli
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkuu wa Dawati la elimu ya usalama barabarani Tanzania Kamishina Msaidizi wa Polisi, Michael Deceli , ametoa rai kwa madereva walioweka magari yao ving’ora pasipo kuwa na kibali cha Waziri wa Mambo ya Ndani ya…
DAWASA yapewa kongole matumizi ya mifumo ya manunuzi kielektroniki
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Godfrey Mnzava ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa kutekeleza agizo la Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan la kutangaza…