JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Tanzania kunufaika na mabilioni kulinda mazingira

Tanzania inatarajia kunufaika na mradi wenye thamani ya Shilingi 120 Bilioni kwa ajili ya miradi ya uhifadhi wa mazingira na mabadiliko ya tabianchi kutoka Mfuko wa Mazingira wa Dunia (GEF). Hayo yamesemwa leo Jumatatu (Februari 13, 2023) Jijini Dodoma na…

Serikali yatangaza kupeleka aina 10 za bidhaa soko huru Afrika

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Serikali imetangaza kuwa kuanzia Julai Mosi mwaka huu itaanza kupeleka aina 10 za bidhaa katika Soko la Huru la Biashara Afrika ambalo Tanzania ni mwanachama. Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Waziri wa Uwekezaji, Viwanda…

Waziri Kikwete awaonya Manyara kujiepusha na migogoro ya ardhi

Na Mwandishi Wetu NAIBU Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ridhiwani Kikwete amemuelekeza Kamishna wa Ardhi Msaidizi mkoa wa Manyara kuweka mpango wa Matumizi Bora ya Ardhi na kuwapatia hati wakazi wa eneo la ekari 2,390 zilizotolewa na Rais…

MV. Mwanza ‘Hapa Kazi Tu’ yashushwa majini

Zoezi la kushusha meli moja ya MV. Mwanza ‘Hapa Kazi Tu’ limefanyikwa vyema kwa asilimia 100 na ujenzi wake umefikia asilimia 82. Akizungumza Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi-Uchukuzi Atupele Mwakibete kwa niaba ya Waziri wa Wizara hiyo Profesa Makame…

Milioni 50 za Dkt.Mpango zawapa morali walimu

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Walimu na wanafunzi wa shule ya Sekondari Tumbi ,Kibaha Mkoani Pwani wamemshukuru Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Philip Mpango kwa kutoa Sh.milioni 50 kwa ajili ya motisha kwa walimu hao. Dkt.Mpango ametoa motisha wiki…

Awataka wananchi kutouza ardhi kama nyanya sokoni

Na Mwandishi wetu,JamhuriMediaSimanjiro Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa CCM Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Haiyo Yamati Mamasita, amewataka wananchi wa eneo hilo kutouza ardhi rejareja kama nyanya inavyouzwa sokoni. Mamasita ameyasema hayo kwenye kata ya Edonyongijape katika maadhimisho ya…