Category: Habari Mpya
Rais afanya uteuzi mwingine
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- Amemteua Antony Diallo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA). Bw. Diallo anachukua nafasi ya Prof. Anthony Mshandete…
Rais Samia awataka wakandarasi kufanyakazi kwa ufanisi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan amewataka Wakandarasi wazawa walioshinda zabuni kuhakikisha kufanya kazi zenye ubora kwa ufanisi, uaminifu na kufuata makubaliano yaliyofikiwa katika mikataba. Rais Samia ametoa wito huo leo wakati akishuhudia utiaji saini mikataba ya…
Majaliwa:Halmashauri tekelezeni miradi kwa fedha za ndani
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema katika kipindi cha miaka miwili ya Serikali ya Awamu ya Sita imetekeleza miradi mingi ya huduma za jamii kila eneo hivyo watendaji wa halmashauri zote nchini wanatakiwa waendelee kubuni miradi mikubwa na kuitekeleza kwa kutumia…
Wakulima Ruvuma waingiza bilioni 644/-kwa kahawa na korosho
Wakulima mkoani Ruvuma waingiza zaidi ya shilingi bilioni 644 baada kuuza mazao ya kahawa na korosho kwenye misimu mitano mfululizo. Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amesema Mkoa wa Ruvuma kwa vipindi vya misimu ya kilimo mitano mfululizo…
#Live: Rais Samia ashuhudia utiaji sani mradi wa gridi ya taifa
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassani anatarajia kushuhudia utiaji saini wa mikataba ya umeme gridi ya taifa Ikulu ya Magogoni jijini Dar es Salaam leo Februari 14, 2023. Unaweza kutufuatilia mubashara kupita Youtube Chennel ya Ikulu Mawsiliano hapa chini, endelea kuwa…
Serikali yapiga marufuku vitabu visivyo na maadili kutumika shuleni
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imepiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vinavyokwenda kinyume na maadili kwenye Shule na Taasisi zote za Elimu. Vitabu hivyo vimepigwa marufuku na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda kwa mamlaka aliyopewa…