Category: Habari Mpya
Jamii yatakiwa kushirikiana na walimu ili kuboresha taaluma
Na OMM Rukwa Jamii imetakiwa kutoa ushirikiano kwa walimu ili kuleta ufanisi utakaochangia kuboresha taaluma ya wanafunzi wa madarasa ya awali na la kwanza kwenye shule za msingi za umma . Kauli mbalimbali zimetolewa jana na walimu wanaoshiriki mafunzo ya…
AAFP yaiangukia Serikali mfumuko wa bei
Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Chama Cha Wakulima (AAFP), kimeishauri serikali kudhibiti usafirishaji wa chakula nje ya nchi ili kuzuia mfumuko wa bei na uhaba wa vyakula nchini. Rai hiyo imetolewa jiijini Dar es Salaam leo Februari 15,2023 na Mwenyekiti Taifa wa…
Majaliwa:Jiridhisheni na miradi ilingane na thamani ya fedha iliyotolewa
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imefanya kazi kubwa ya kuhakikisha inatekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo kwa wananchi, hivyo ni jukumu la viongozi kuikagua na kujiridhisha kama utekelezaji wake unafanyika kwa viwango vilivyokusudiwa na unalingana na thamani…
Mvua kubwa ya mawe yaacha vilio Tabora
…………………………………………… Mvua kubwa ya upepo iliyoambatana na mawe imeharibu zaidi ya ekari 15 kati ya 75 za zao la Tumbaku zilizolimwa na kusababisha hasara kubwa kwa baadhi ya wakulima wa Chama cha Msingi cha Ushirika wa Wakulima wa Tumbaku Ngulu,…
Tanzania, Comoro kuanzisha Tume ya Kudumu ya Pamoja
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Comoro zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) wa kuanzisha Tume ya Kudumu ya Pamoja kati ya nchi hizo mbili. Makubaliano hayo yamesainiwa leo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano…
Majaliwa:AMCOS Mbozi kuchunguzwa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali itafanya uchunguzi kwa vyama vya Msingi vya Ushirika (AMCOS) wilayani mbozi mkoani Songwe na watakaobainika kuhusika na ubadhirifu wowote watachukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria. Mheshimiwa Majaliwa ametoa kauli hiyo baada ya Mbunge wa…