Category: Habari Mpya
Bil.7.5 kukarabati kivuko MV Magogoni
Na Alfred Mgweno -TEMESA Serikali kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) imesaini mkataba wa ukarabati wa kivuko cha MV. Magogoni wenye thamani ya shilingi bilioni 7.5. Mkataba huo umesainiwa leo katika eneo la kivuko cha Magogoni Kigamboni jijini…
Nape:Serikali itasimamia na kulinda uhuru wa kujieleza
Na Mwandishi Wetu,Jamhurimedia Serikali imesema itasimamia na kulinda uhuru wa kujieleza na haitoingilia kwenye uhuru wa vyombo vya habari. Pia inataka kuwa mlezi wa uhuru wa kujieleza na haitaki kuingilia biashara ya vyombo vya habari. “Inachotaka ni kuwa mlezi wa…
Moto wateketeza bweni la wanafunzi sekondari ya Lugarawa Njombe
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Njombe Wanafunzi 82 wa shule ya sekondari Lugarawa wilayani Ludewa mkoani Njombe wamenusurika kuungua baada ya bweni lao kuteketea kwa moto na kuunguza mali za wanafunzi na za shule zenye thamani zaidi ya sh. milioni 18. Akizungumza…
Mwalimu mbaroni kwa kumjeruhi kwa fimbo mwanafunzi akimtuhumu kuiba maandazi
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Mbeya Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia mwalimu wa shule ya Sekondari Loiler iliyopo Mji Mdogo wa Mbalizi mkoani Mbeya,Peter Emmanuel (29),kwa tuhuma za kumshambulia fimbo mwanafunzi kwa madai ya kuiba maandazi matano. Kamanda wa Polisi Mkoa…
Jamii yatakiwa kushirikiana na walimu ili kuboresha taaluma
Na OMM Rukwa Jamii imetakiwa kutoa ushirikiano kwa walimu ili kuleta ufanisi utakaochangia kuboresha taaluma ya wanafunzi wa madarasa ya awali na la kwanza kwenye shule za msingi za umma . Kauli mbalimbali zimetolewa jana na walimu wanaoshiriki mafunzo ya…