JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

DC Shaka akemea rushwa kwa watendaji

Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro Shaka Hamdu Shaka amekemea baadhi ya watumishi ambao wamekua sio waadilifu Kwa kuendekeza rushwa Jambo ambalo linachangia Kuongezeka kwa migogoro ya ardhi wilayani humo. DC Shaka ameyasema hayo katika Baraza la Madiwani wilayani…

Ridhiwani agawa pikipiki kwa watendaji wa kata Chalinze

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Chalinze Naibu Waziri wa Ardhi ambae pia ni mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete amegawa pikipiki kwa watendaji wa kata 6 za Halmashauri ya Chalinze, pamoja na kutembelea kiwanda cha Uzalishaji wa marumaru cha Keda. Pia, amepokea…

Serikali yataka aliyemlawiti mwanaye Arusha achukuliwe hatua kali

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo wahakikishe wanamfikisha katika vyombo vya sheria baba mzazi wa mwanafunzi wa darasa la pili (7) katika Kata ya Sokoni One mtaa…

Jeshi la Polisi laja na mbinu mpya ya kuzuia uhalifu

Na Mwandishi wetu Jeshi la Polisi Jeshi la Polisi Nchini kupitia Kamisheni ya Polisi Jamii limekuja na mbinu ya kuzuia matukio ya uhalifu hususani ya mauaji pamoja na ya ukatili. Kamishna wa Polisi Jamii Nchini CP.Faustine Shilogile wakati akizungumza na…