JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

TMA yatoa ufafanuzi kimbunga “Freddy’

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA),inapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa za uwepo wa kimbunga ‘Freddy’ zinazosambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii na kuzua taharuki kwa jamii. Kupitia sheria ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania Na. 2 ya…

Mabula afurahishwa makubaliano ya NHC,Absa kutoa mikopo ya nyumba

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Dkt.Angeline Mabula amesema kuwa uwekezaji katika sekta ya nyumba unahitaji kiwango kikubwa Cha fedha hivyo benki na taasisi za fedha zina mchango mkubwa katika kukuza sekta ya nyumba nchini. Hayo ameyasema…

Polisi wanasa mtandao wa watekaji magari Songwe

Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limekamata mtandao wa majambazi sita ambao wamedaiwa kujihusisha na utekaji na kupora eneo la msitu wa Nyimbili Kata ya Mtungwa wilayani Momba almaarufu BoT (Benki Kuu) kutokana na mfululizo wa matukio ya ujambazi eneo…

Samia atimiza ndoto ya bwawa la mifugo la mwaka 1975

Na Edward Kondela,JamhuriMedia Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ametimiza ndoto ya Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ya kujenga upya bwawa ambalo Mwalimu Nyerere alilijenga mwaka 1975 na kupasuka mwaka 1978. Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega (Mb) amebainisha hayo…

Ridhiwani achanja mbuga ziara yake ya kata kwa kata

Na Mwamvua Mwinyi,Chalinze Mbunge wa Jimbo la Chalinze ambae pia ni Naibu Waziri wa Ardhi ,Ridhiwani Kikwete amewaasa wakandarasi pamoja na maeneo ambayo yanazungukwa na ujenzi wa miradi mbalimbali ya Serikali kuhakikisha inatoa kipaombele cha ajira kwa wazawa wanaozunguka miradi…