JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Serikali yadhamiria kupunguza tataizo la umeme Pwani

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani alhaj Abubakari Kunenge, amepokea transforma kubwa sita katika mradi wa kituo cha kupoza na kupokea umeme cha Chalinze ,zenye uwezo wa megavoti 250 kwa gharama ya Bilioni 7.5 kila moja. Kuwasili kwa…

Tumbi yaanza kutoa huduma ya kusafisha damu, CT-Scan

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani HOSPITAL ya Rufaa ya mkoa ya Tumbi, Mkoani Pwani imeanza kutoa huduma ya kusafishwa damu pamoja na mashine za CT-scan pamoja na X-ray za kielektroniki. Mkuu wa Mkoa wa Pwani alhaj Abubakari Kunenge, ameeleza neema hiyo kwa…

CBE yatambia mitaala inayokwenda na wakati

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), kimesema mpango wa kuwasaidia wanafunzi wajasiriamali kuendeleza biashara zao au kuatamia mawazo ya biashara zao utakuwa wa manufaa makubwa. Chuo kimesema lengo la kufanya hivyo ni kutatua tatizo kubwa la ajira…

Serikali imedhamiria kumaliza changamoto zote za elimu msingi

Naibu Waziri Ofisi ya Rais -TAMISEMI (Elimu),David Silinde amesema Serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan imadhamiria kwa dhati kuhakikisha inamaliza changamo zote za elimu Msingi nchini. Ameeleza hayo tarehe 19 Februri 2023 wakati wa…

Mkutano wa 43 wa kawaida wa Baraza la Mawaziri la EAC kufanyika Burundi

Mkutano wa Kawaida wa 43 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unatarajiwa kufanyika jijini Bujumbura, Burundi tarehe 23 Februari 2023. Mkutano huo ambao umeanza kwa Ngazi ya Wataalam tarehe19 hadi 20 Februari 2023 utafuatiwa na Mkutano…