JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Rais Samia aiongezea thamani minada, atoa bil.5.9/-

Na. Edward Kondela,JamhuriMedia,Arusha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa Shilingi Bilioni 5.9 kwa mwaka wa fedha 2022/23 kwa ajili ya ujenzi wa minada mipya na ukarabati wa minada ya zamani ili kuboresha usalama wa mifugo. Naibu Waziri wa Mifugo na…

Waziri Masauni amsimamisha kazi OCD Kilombero

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamadi Masauni amemsimamisha kazi Mkuu wa Polisi Wilaya ya Kilombero (OCD) Shedracck Kigobanya huku akimuhamisha kituo cha kazi Mkuu wa Upelelezi Wilaya hiyo (OC CID), Daud Mshana kwa kushindwa kuwasimamia askari wake na…

Fisi ajeruhi vibaya watu saba Mara

Takriban watu saba wanaripotiwa kujeruhiwa vibaya na fisi wilayani Tarime mkoani Mara. Tukio hilo limetokea mapema leo asubuhi Februari,21 2023 eneo la Bugos nje kidogo ya mji wa Tarime , viongozi wa eneo hilo wamesema. “Idadi ya majeruhi waliopata matibabu…

Rais Samia na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umaoja wa Falme za Kiarabu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekutana na amefanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Shakhboot Bin Nahyan aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Tunguu Zanzibar leo Februari…

RPC Ruvuma atoa elimu kwa madereva wa maroli

Na Cresensia Kapinga,JamhuriMedia,Mbinga Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma ACP Marco Chilya amewataka madereva wa malori yatokayo ndani na nje ya nchi kwa ajili ya kubeba makaa ya mawe mkoani Ruvuma kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao wakizingatia sheria na kanuni za…

Serikali yadhamiria kupunguza tataizo la umeme Pwani

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani alhaj Abubakari Kunenge, amepokea transforma kubwa sita katika mradi wa kituo cha kupoza na kupokea umeme cha Chalinze ,zenye uwezo wa megavoti 250 kwa gharama ya Bilioni 7.5 kila moja. Kuwasili kwa…