JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

MOI yafanya upasuaji kuondoa uvimbe kwenye ubongo kutumia pua

Taasisi ya tiba ya Mifupa na Milango ya fahamu (MOI) imefanya Upasuaji mkubwa wa Kuondoa Uvimbe kwa kuingia kwenye uvungu wa Ubongo kwa Kutumia tundu za Pua za Mgonjwa pamoja na kufanya Upasuaji mwingine kwa mgonjwa aliyekuwa akisumbuliwa na Uvimbe…

TMA: Mvua za msimu wa masika kuwa za wastani

Mamlaka ya Hali ya Hali ya Hewa nchini TMA, imetangaza kuwa msimu wa mvua za masika zinatarajiwa kuwa za wastani hadi chini ya wastani huku maeneo mengine yakipata mvua za wastani hadi juu ya wastani Akizungumza na vyombo vya habari…

Rais Samia awatakia Kwaresma njema Wakristo wote

Rais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassani amewatakia Kwaresma njema Wakristo wote na kuwataka kuendelea kuiombea nchi na Dunia nzima amani na upendo.

Mwili wa Mwai Kibaki huenda ukafukuliwa

Kituo cha televisheni cha KTN kimeripoti kwa undani taarifa hiyo ya mahakamani ambapo watu hao wawili wameieleza mahakama kuwa wao ni watoto halali wa Kibaki hivyo wanastahili urithi wa mali alizoziacha. Kibaki alifariki dunia mnamo mwaka 2022 na kuacha watoto…

Serikali yaipa kibali AECOP ujenzi wa bomba la mafuta ghafi nchini

Wizara ya Nishati imekabidhi kibali cha ujenzi  wa bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki kwa kampuni ya EACOP Tanzania ambapo itaanza utekelezaji wa ujenzi wa kipande cha kutoka Mtukula hadi  Chongoleani Mkoani Tanga. Akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi…

Serikali yaondoa ukomo matumizi ya vitambulisho vya NIDA

Serikali imetangaza kuondoa ukomo wa matumizi ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) vilivyomalizika muda wake kufuatia mabadiliko ya Kanuni za Usajili na Utambuzi wa Watu za mwaka 2014. Hayo yamesemwa leo Februari 21, 2023 na Waziri, Mambo ya Ndani ya Nchi…