Category: Habari Mpya
Magonjwa yasiyoambukiza yanachangia vifo kwa asilimia 33 nchini – Dk Mpango
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha MAKAMU wa Rais, Dkt.Philip Mpango ameeleza magonjwa yasiyoambukiza yanachangia vifo nchini kwa asilimia 33 ikiwemo kisukari na shinikizo la damu. Ameeleza katika miaka ya 1980 ni asilimia moja tu ya watanzania waliokuwa wakisumbuliwa na ugonjwa…
Wafugaji kuku Ihemi wanufaika na mafunzo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Iringa WADAU wa mnyororo wa thamani katika sekta ndogo ya kuku wameonesha kuridhishwa na mafunzo ya ufugaji kuku kisasa yanayotolewa Kituo cha SilverLands Tanzania Limited (T-PEC). Wakizungumza kwa nyakati tofauti wadau katika mnyororo wa thamani wa…
Ma -DC, Ma-DAS wahimizwa kutenda haki kudumisha amani na mshikamano nchini
📌Dkt. Biteko awataka kusikiliza na kutatua kero za wananchi kwa kuzingatia sheria 📌Asema maamuzi yao yasiwe ya upendeleo 📌Aelekeza kuandaa mkakati thabiti wa kutatua migogoro ya ardhi 📌Wakafanyie kazi mapendekezo ya ripoti ya Haki Jinai Na Ofisi ya Naibu Waziri…
Wachimbaji dhahabu zaidi ya 200 wapata elimu ya matumizi salama ya Zebaki Kibaga Mine
Na Helena Magabe,JamhuriMedia Tarime NEMC kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkemia Mkuu Kanda ya Ziwa pamoja na Tume ya Madini Kanda ya Ziwa kwa udhamini wa Benki ya Dunia wametoa elimu ya matumizi salama ya zebaki kwa wachimbaji wa dhahabu…
Waziri Ndumbaro awasimamisha viongozi wote TPBRC
Isri Mohamed Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt Damas Ndumbaro amemsimamisha Rais wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa nchini (TPBRC), Chaurembo Palasa, pamoja na Katibu mkuu George Silas na viongozi wengine wote wa kamisheni hiyo ili kupisha uchunguzi wa…