Category: Habari Mpya
Makamu wa Rais afungua Jukwaa la uwekezaji na biashara baina ya Tanzania Ulaya
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amewakaribisha wawekezaji kutoka Umoja wa Ulaya kuwekeza nchini katika sekta za Kilimo, Usafirishaji, Nishati,Tehama,Utalii na katika Viwanda vya kuongeza thamani kwa kuwa serikali inahitaji kufungua zaidi sekta…
Kunenge:Wananchi 250 waliovamia eneo la Balozi Mlai Mapinga waondoke
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Mapinga Mwenyekiti wa kamati ya Usalama mkoa wa Pwani, alhaj Abubakari Kunenge, amesema Serikali inaendelea kusimamia Maamuzi ya hukumu za mahakama katika migogoro ya ardhi kata ya Mapinga ,na hawawezi kuipinga mahakama . Amewashauri walioshinda mashauri yao kuona…
Ridhiwani:Orodhesheni majina ya wawekezaji waliohodhi ardhi bila kuziendeleza
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Chalinze Naibu Waziri wa Ardhi ,Nyumba na Maendeleo ya Makazi ,Ridhiwani Kikwete amewaasa wananchi kuheshimu taratibu na sheria kwakuwa ndiyo msingi utakaoleta amani katika jamii yetu. Amezitaka Serikali za vijiji kuorodhesha majina ya wawekezaji ambao wamehodhi ardhi…
Naibu Waziri Khamisi atoa maelekezo mazito Mwanza
Serikali imezitaka kamati za ulinzi na usalama katika Mikoa na Wilaya zote nchini pamoja na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kuanzisha operesheni ya kuwaibaini na kuwachukulia hatua kali za kisheria waagizaji na wasambazaji wa mifuko…
Tanzania ya kwanza kusaini mkataba wa kituo cha huduma ya dharura cha maafa
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Dodoma Tanzania imekuwa nchi ya kwanza miongoni mwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Kusini mwa Afrika SADC, kusaini mkataba wa kuanzishwa kituo cha huduma za kibinadamu na oparesheni za dharura za kanda. Akizungumza mapema hii…
Serikali: Wamiliki wa viwanda zingatieni sheria ya mazingira
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Serikali imewataka Wawekezaji na wamiliki wa viwanda nchini kuzingatia Sheria ya Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira zilizoanishwa na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi Mazingira(NEMC) wakati wa uanzishaji, uendelezaji wa viwanda nchini. Agizo hilo limetolewa jana…