JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

NMB yapata ufadhili wa bil.572/- kutoka Jumuiya ya Ulaya

Benki ya NMB imepata mikopo miwili ya muda mrefu na dhamana ya kukopesha kutoka taasisi tatu za fedha za Jumuiya ya Ulaya (EU) yenye thamani ya sh. bilioni 572 kwa ajili kuendeleza sekta binafsi na kusaidia ujumuishaji wa kifedha nchini….

Majaliwa: Watanzania wajivunie kupatikana kwa mbegu mpya ya mchikichi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Watanzania wana kila sababu ya kutembea kifua mbele na kujivunia utafiti uliofanyika hapa nchini na kupata mbegu mpya ya michikichi ambayo imeonesha mafanikio makubwa. “Baada ya kukaa na kufanya tathmini ya zao la chikichi hapa…

TSB kuanzisha klabu shuleni za kutangaza zao la Mkonge

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Tanga Katika kampeni yake ya kuhamasisha kilimo cha Mkonge nchini,Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB), iko kwenye mchakato wa kuanzisha klabu za wanafunzi katika shule za sekondari kwa lengo kuwawezesha vijana kujiajiri kupitia kilimo hicho. Mkurugenzi Mkuu wa TSB,Saddy…

Rais Samia ampa shavu Mwana FA, awa Naibu Waziri

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya baadhi ya viongozi kwa kuwateua Wawaziri na Naibu Waziri, Wakuu wa Mikoa, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu kuwahamisha wizara baadhi ya Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu pamoja na kumteua…

Rais Samia atoa ‘mchongo’ wa ajira kwa vijana 50 sekta ya uvuvi

Na Mbaraka Kambona,JamhuriMedia,Pwani Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuboresha maisha ya Watanzania hususan vijana kwa kuwawekea mazingira wezeshi ya kujiajiri kupitia shughuli za uvuvi na ukuzaji viumbe maji ili kukuza kipato chao na…

NACTVET yatoa tuzo kwa wanaotoa nafasi kuendeleza ujuzi sehemu za kazi

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTIVET) kwa kushirikiana na Chama cha Waajiri nchini (ATE), wamewapa tuzo kampuni na taasisi amabzo zimetoa mchango mkubwa kwenye uendelezaji ujuzi pahala pa kazi. Tuzo hizo zimetolewa mwishoni mwa wiki…