JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Kanisa Katoliki Geita lafungwa kufuatia tukio la kufuru na unajisi

Kwa masikitiko makubwa na tumaini kubwa kwa Mungu, napenda kuwataarifu kwamba, huduma zote za ki-ibada na ki-Sakramenti katika Kanisa Kuu la Kiaskofu la Jimbo Katoliki la Geita zamesitishwa kuanzia leo tarehe 27 ya Mwezi Februari ya Mwaka wa Bwana 2023….

Madiwani Bagamoyo wapiga marufuku wananchi kulipia gari la wagonjwa kwa 85,000/-

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Bagamoyo Baraza la Madiwani Halmashauri ya Bagamoyo,mkoani Pwani limepiga marufuku ongezeko la malipo ya gari la wagonjwa kwa wateja wanaopata rufaa hospital ya Wilaya ya Bagamoyo kwenda Hospital ya Muhimbili ama Muhas -Mloganzila kwa gharama ya sh.85,000 badala…

Fuvu la jemedari wa Wangoni kurejeshwa nchini

Na Albano Midelo,JamhuriMedia,Ruvuma Wizara ya Maliasili na Utalii imeunda Kamati ya Kitaifa inayosimamia urejeshwaji wa malikale zilizo nje ya nchi,likiwemo fuvu la Jemedari wa Wangoni Nduna Songea Mbano ambalo limehifadhiwa nchini Ujerumani. Jemedari wa wangoni Songea Mbano na wenzake mashujaa…

Rais Samia atengua umiliki wa eneo la AZANIA Investment Mapinga

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Bagamoyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amebatilisha,na kutengua umiliki wa shamba namba 934 lililokuwa mali ya AZANIA Investment and management Services Ltd, kitongoji cha Kiembeni Kata ya Mapinga, Bagamoyo Mkoani Pwani ,lenye ukubwa…