JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Tanzania yaungana na nchi nyingine duniani kuadhimisha Siku ya Kupinga Unyanyapaa na Ubaguzi Duniani

Tanzania imeungana na nchi nyingine duniani kuadhimisha Siku ya Kupinga Unyanyapaa na Ubaguzi Duniani yanayoadhimishwa kimataifa Machi Mosi kila mwaka ili kuendelea kuangazia na kupaza sauti juu ya kupinga na kupiga marufuku vitendo vyote vya unyanyapaa. Madhimisho hayo yamefanyika leo…

Zanzibar kuwafungulia kesi za uhujumu uchumi wafanyabiashara wanaoficha vyakula

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Zanzibar Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itawachukulia hatua kali ikiwemo kuwafungulia kesi za uhujukumu uchumi wafanyabiashara watakaobainika kwa makusudi wanaficha vyakula na bidhaa kwa lengo la kuwapandishia bei wananchi. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la…

NHIF yakabidhi majina ya walimu waliogushi nyaraka

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umekabidhi kwa Tume ya Utumishi ya Walimu jumla ya majina 78 ya walimu waliobainika kughushi nyaraka mbalimbali za wategemezi wao pamoja na matumizi mabaya ya kadi za matibabu. Walimu…

Bei ya mafuta ya petroli na dizeli zapaa

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya za mafuta zitakazotumika kuanzia leo Jumatano Machi 1, 2023 huku bei ya petrol na dizeli zikipaa ikilinganishwa na Februari. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Mkurugenzi…

Maafisa elimu,kata Kibaha Mji wajengewa uwezo masuala ya VVU,ukatili

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Kibaha Halmashauri ya Mji Kibaha,imeendesha semina ya kuwajengea uwezo maafisa Elimu kata,walimu walimu wa shule za msingi na sekondari juu ya masuala ya VVU/UKIMWI mahala pa kazi kwa lengo la kuondoa unyanyapaa na ukatili wa kijinsia. Siwema Cheru…

DC Nachingwea aamuru madarasa kuvunjwa haraka

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mohamed Hassan Moyo ameamuru kuvunjwa kwa baadhi ya madarasa ya shule ya msingi Majogo katika Kijiji cha Litula, Kata ya Marambo, kutokana na uchakavu wa majengo ya shule hiyo ambayo yanahatarisha maisha…