Category: Habari Mpya
Kimbunga cha Fredy chaua 14 Madagascar, Msumbiji
Takribani watu 7 nchini Madagascar na 7 nchini Msumbiji wamepoteza maisha baada ya kimbunga Freddy kupiga. Kulingana na ripoti ya hivi punde ya Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA), idadi ya watu walioathiriwa na Kimbunga…
Mawakala wa forodha wahimizwa udhibiti wa kemikali hatarishi
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMeida Serikali imewataka mawakala wa forodha wanaoandaa nyaraka za kuingizia nchini na kupokea mizigo ikiwemo kemikali zinazodhibitiwa kuzingatia ukomo wa matumizi wa kemikali hizo zinazochangia mmong’onyo wa tabaka la ozoni na kusababisha mabadiliko ya tabia nchi. Wito huo…
Basi la Happy Nation lapinduka, abiria wanusurika Pwani
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Abiri waliokuwemo katika basi la Happy Nation lililokuwa likitokea Kagera kwenda Dar es Salaam wamenusurika kifo baada ya basi hilo kupinduka upande wa kushoto eneo la Vigwaza mkoani Pwani. Katika ajali hiyo majeruhi sita walifikishwa Hospital ya…
TAKUKURU Tabora yabaini uchochoro wa mianya ya rushwa
……………………………………………………………………………………………………….. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Tabora imebaini uchochoro wa mianya ya rushwa katika mfumo wa utoaji huduma kwa jamii na kuelekeza mamlaka husika kuondoa mapungufu hayo mara moja. Akizungumza na vyombo vya habari leo Machi…