Category: Habari Mpya
Maeneo ya kazi yaliyosajiliwa na OSHA yaongezeka
Katika kipindi cha miaka miwili cha uongozi wa serikali ya awamu ya sita Wakala wa Usalama Mahala pa kazi (OSHA) umeongeza idadi ya maeneo ya Kazi yaliyosajiliwa kutoka 4,336 hadi 11,953 ikiwa ni ongezeko la asimilia 276. Hayo ameyasema leo…
TANESCO yakabidhi kisima cha maji Nyani Pwani
Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limendelea na jitihada zake za uwajibikaji kwa jamii kwa kusadia uchimbaji wa Kisima Shule ya Msingi Nyani iliyoko Wilayani Kisarawe Mkoani Pwani. Akizungumza Mkurungezi wa Fedha TANESCO Renata Ndege kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa…
Nyumba ya Nyerere,Samora vivutio vya kihistoria Masonya Tunduru
Na Albano Midelo ENEO la Masonya lililopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma lina utajiri wa utalii wa malikale na utambulisho wa Taifa kimataifa. Eneo hilo lenye ukubwa wa ekari 100 lina vivutio adimu vya utalii wa malikale…
Kunenge:Pwani haturidhiki na hali ya usafiri kivuko cha Mafia
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Mkuu wa mkoa wa Pwani ,alhaj Abubakari Kunenge,ameeleza mkoa hauridhiki na hali ya usafiri wilayani Mafia, kwani wananchi wa wilaya hiyo bado wanachangamoto kubwa ya kupata kivuko kitakachojibu kero ya usafiri waliyonayo. Aidha wilaya hiyo,inakabiliwa na changamoto…
Wanaokwamisha mabadiliko ya mahakama kuchukuliwa hatua
Magreth Kinabo na Stanslaus Makendi, Dodoma Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania,Mustapher Siyani amesema kwamba uongozi wa Mahakama ya Tanzania utachukua hatua ya kumwajibisha mtumishi yoyote yule ambaye atakuwa ni kikwazo wa mabadiliko yanayofanywa na mhimili huo katika kuelekea…