JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Watatu wafariki wakiwemo Polisi wawili katika ajali Chalinze

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Watu watatu Mkoani Pwani wakiwemo Polisi wawili wamefariki dunia pamoja na mmoja kujeruhiwa ,baada ya gari lenye namba za usajili T.323 BAL aina ya Toyota Crester likiendeshwa na mkaguzi waPpolisi Ndwanga Dastan kuacha njia kisha kugonga karavati,na…

Kwaresma tujikabidhi kwa Mungu

Na Adeladius Makwega-Buigiri Wakristo wameambiwa kuwa Kipindi cha Kwaresma ni cha kusali zaidi, kipindi cha kuombeana mbele za Mungu na kipindi cha kujikadihi kwa Mwenyezi Mungu. Hayo yamesemwa an Padri Paul Mapalala Parokiani Chamwino Ikulu katika Kanisa la Bikira Maria…

Sungusungu wapandishwa kizimbani kwa tuhuma za mauaji Tabora

Na Allan Vicent,JamhuriMedia,Tabora Walinzi 5 wa jadi maarufu kwa jina la Sungusungu wilayani Sikonge mkoani hapa wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mjini Tabora kwa tuhuma za mauaji ya mwananchi wakiwa kwenye doria. Walinzi hao ambao ni wakazi wa…

Kila wagonjwa watatu wanaolazwa mmoja ana magonjwa yasiyoambukiza

Na. WAF – Dodoma Takwimu zinaonesha kuwa kila wagonjwa watatu wanaolazwa mmoja ana magonjwa yasiyoabukiza ambapo inapelekea kuchangia asilimia 34 ya vifo Tanzania. Hayo ameyasema leo Mkurugenzi wa Tiba Prof. Paschal Ruggajo kwenye mkutano wa mafunzo kwa Mama na Baba…

Maeneo ya kazi yaliyosajiliwa na OSHA yaongezeka

Katika kipindi cha miaka miwili cha uongozi wa serikali ya awamu ya sita Wakala wa Usalama Mahala pa kazi (OSHA) umeongeza idadi ya maeneo ya Kazi yaliyosajiliwa kutoka 4,336 hadi 11,953 ikiwa ni ongezeko la asimilia 276. Hayo ameyasema leo…