JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

ACT-Wazalendo yaitaka Serikali kupitia upya mfumo wa taasisi za mikopo

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Tanga Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Tanzania Bara Dorothy Samu ameitaka Serikali kupitia upya mfumo mzima wa Taasisi zisizo za Kiserikali zinazotoa mikopo na kuangalia riba zao kutokana na kuwa zimekuwa mzigo kwa wanawake na kupelekea…

Rais Samia:Tuungane kumkomboa mwanamke wa Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa Baraza la Wanawake wa Chadema (BAWACHA) kutumia nguvu ya Chama chao kuungana na kila chama cha siasa kumkomboa mwanamke wa Tanzania.Rais Samia amesema hayo wakati akihutubia…

Polisi wanawake watoa msaada kwa Askari wagonjwa

Na Mwandishi Wetu Jamhuri Jeshi la Polisi Mkoani Arusha kupitia mtandao wa Polisi wanawake leo Machi 08, 2023 katika kusherehekea siku ya wanawake duniani wamewakumbuka askari ambao waliumia wakati wakitekeleza majukumu yao ya kazi kwa kwa kuwapa misaada ikiwemo fedha….

Mbowe afunguka mazito mbele ya Rais Samia

Mwanyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Freeman Mbowe amemwambia Rais Samia kuwa ndani ya serikali na Chama Cha Mapinduzi kuna wahafidhina wanaotamani kukwamisha maridhiano na mchakato wa katiba mpya kuwa hawamtakii mema. Mbowe ametoa kauli hiyo leo Machi 08,2023…

Wanaompinga Rais Samia kuhusu katiba mpya, wanampima

Na Mwandishi wetu JAMHURI Katibu wa BAWACHA Taifa, Carherine Ruge, amesema wanaompiga Rais Samia Suluhu Hassan katika dhamira yake ya kuhakikisha inapatikana Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ndani ya CCM, hawampingi bali wanampima. Ruge ametoa kauli hiyo wakati…

Nape:Tuna pengo kubwa kidijitali kati ya wanawake na wanaume

Na Wilson Malima, Jamhuri Media. Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Moses Nnauye amesema, licha ya kuongezeka kwa matumizi ya TEHAMA  duniani, ushiriki wa Wanawake na Wasichana bado upo Chini hasa katika nchi zinazoendelea. Amesema, nchini  Tanzania…