Category: Habari Mpya
Jukwaa la Maendeleo ya Utamaduni kushirikiana kukuza utamaduni nchini
Na Eleuteri Mangi,JamhuriMedia,Dodoma Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Balozi wa Uswisi hapa nchini ambaye pia ni Mkuu wa Mkuu wa Kitengo cha Ushirikiano wa Kimataifa Leo Näscher kuhusu ushirikiano…
Ado:Rais Samia ameitoa tasnia ya habari gizani
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan ina mengi ya kujivunia na kuwa na historia ya kipekee nchini. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu,wakati wa Maadhimisho ya…
Waziri Mabula ataka wanawake kujiamini
Na Munir Shemweta, WANMM Kwimba Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewataka wanawake nchini kujiamini wakati wa kutekeleza majukumu yao. Dkt.Mabula amesema hayo tarehe 8 Machi 2023 wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani…
Pwani yapokea migogoro ya ndoa 689,watoto nje ya ndoa 973
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Bagamoyo Mkoa wa Pwani, kupitia Madawati ya Ustawi wa Jamii na maeneo ya utoaji huduma za kijinsia katika Halmashauri yamepokea migogoro ya ndoa 689 ,matunzo 908 na migogoro inayohusu watoto wa nje ya ndoa 973 katika kipindi cha…
DC Okash: Watakaochezea haki ya mwanamke,Serikali kumshughulikia
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Bagamoyo Mkoa wa Pwani, kupitia madawati ya ustawi wa Jamii na maeneo ya utoaji huduma za kijinsia katika Halmashauri yamepokea migogoro ya ndoa 689 ,matunzo 908 na migogoro inayohusu watoto wa nje ya ndoa 973 katika kipindi cha…
ACT-Wazalendo yaitaka Serikali kupitia upya mfumo wa taasisi za mikopo
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Tanga Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Tanzania Bara Dorothy Samu ameitaka Serikali kupitia upya mfumo mzima wa Taasisi zisizo za Kiserikali zinazotoa mikopo na kuangalia riba zao kutokana na kuwa zimekuwa mzigo kwa wanawake na kupelekea…