JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Miaka mitatu jela kwa kusafirisha dawa za kulevya

Na Tatu Saad, JAMHURI MEDIA Mahakama ya hakimu Mkazi kisutu imewahukumu kifungo Cha miaka mitatu jela wakazi wa Ilala Daresalaam Habibu Ibrahim Habibu (24) na Salumu mashtaka duchi baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya…

Mfumuko wa bei za bidhaa washuka nchini

Na Wilson Malima, JAMHURI MEDIA Mfumuko wa bei za bidhaa na huduma chini Tanzania umepungua hadi kufikia asilimia 4.8 kwa mwaka ulioishia Februari 2023 tofauti na ilivyokuwa asilimia 4.9 kwa mwaka ulioshia Januari 2023. Mfumuko wa bei wa taifa hupima…

Masauni:Vituo vya Polisi vilivyokwama ujenzi tangu mwaka 2015 sasa kujengwa

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema vituo vya Polisi vya Wilaya ya Ikungi na Mkalama Mkoani Singida ambavyo vilikwama ujenzi wake tangu mwaka 2015 sasa vitaanza kujengwa muda wowote kuanzia sasa. Waziri Masauni amesema hayo…

Dkt.Yonazi:Tuimarishe ufanisi katika utendajikazi

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Dodoma Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu, Dkt. Jim Yonazi, amewataka watumishi wa Ofisi hiyo kuimarisha ufanisi katika utendaji kazi wa kila siku ili kufanikiwa katika kufikia malengo ya Serikali. Ameyasema hayo mapema…

JWTZ latangaza nafasi za vijana kujiunga na jeshi

Na Immaculate Makilika – MAELEZO Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania limetangaza nafasi za kujiunga na Jeshi hilo kwa vijana Watanzania wenye elimu ya kuanzia kidato cha nne hadi Shahada ya Uzamili ambao wamemaliza Mkataba wa Mafunzo ya kujitolea…

Waziri Kikwete:Zifuatwe njia nzuri kuwapa motisha watumishi

Na James Mwanamyoto,JamhuriMedia,Dodoma Naibu Waziri,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Ridhiwani Kikwete ameitaka Idara ya Mishahara,Motisha na Marupurupu kubuni njia mbalimbali za kutoa motisha kwa watumishi wa umma ambazo zitatumiwa na waajiri Serikalini ili kuwajengea ari…