JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Pwani yafikia asilimia 94.6 ya upatikanaji dawa

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMediaPwani Mkoa wa Pwani, umefikia asilimia 94.6 ya upatikanaji wa dawa muhimu na vifaa tiba ,hadi kufikia Machi mwaka huu, hatua ambayo ni nzuri inayokwenda kujibu changamoto ya upungufu wa dawa kwenye hospital, zahanati na vituo vya afya….

Watoto sita wafariki kwa kula samaki aina ya kasa

Watoto sita wa kuanzia miezi saba na mtu mzima mmoja wamekufa baada ya kula samaki aina ya kasa anayesadikiwa kuwa na sumu. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kaimu Kamanda wa Polisi,Mkoa wa Kipolisi Rufiji, Canute Msacky, tukio hilo limetokea katika…

Mlawa atoa matofali 1,000 ujenzi ofisi ya Kata Zinga

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Bagamoyo Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi, Wilaya ya Bagamoyo, mkoani Pwani Aboubakary Mlawa, amechangia matofali 1,000 kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya Jumuiya hiyo Kata ya Zinga. Hatua hiyo ni mkakati wa jumuiya hiyo ,kuhakikisha kila tawi…

Simba wajibu mapigo

Na Tatu Saad,JAMHURIMedia Afisa habari wa klabu ya wekundu wa msimbazi Simba Sc amewajibu baadhi ya mashabiki na wapenzi wa soka wanaosema timu hiyo ni mbovu. Ameeleza hayo katika mkutano wao na waandishi wa habari uliofanyika mapema ya leo Machi…

Tanzania kushirikiana na Jumuiya ya Madola kukabili changamoto za kidunia

Tanzania imeahidi kushirikiana na Jumuiya ya Madola kukabiliAna na changamoto za kidunia zikiwemo mabadiliko ya tabianchi, Uviko 19, migogoro, ugaidi na umasikini. Ahadi hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Samwel…