Category: Habari Mpya
Mtibwa Sugar yatoa shukrani
Na Tatu Saad,JAMHURIMedia Klabu ya walima miwa kutoka mjini Morogoro ‘Mtibwa Sugar’ imetoa shukrani zake kwa wote waliokuwa nao katika kipindi kigumu cha msiba wa aliyekuwa mchezaji wao Iddy Mobby Mfaume. Kabla ya kukutana na wekundu wa msimbazi Machi 11,…
Kamati yaridhishwa na miradi ya umeme vijijini Iringa
Na Veronica Simba – REA Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imeridhishwa na hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini mkoani Iringa. Akizungumza na waandishi wa habari mkoani humo, jana baada ya ziara ya…
Kamati ya Bunge Katiba na Sheria yaimwagia sifa mahakama
Na Tiganya Vincent,Tabora Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria leo tarehe 14 Machi, 2023 imekagua Mradi wa Ukarabati na Upanuzi wa jengo la Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Tabora ambapo wameonesha kuridhishwa na ukarabati huo na…