Category: Habari Mpya
Bruno haendi Yanga
Na Tatu Saad,JamhuriMedia Uongozi wa klabu ya Singida Big Stars umekanusha taarifa zinazoenea kuwa wamefanya mazungumzo ya awali na mabingwa watetezi wa Kombe la Ligi Kuu ya Tanzania Bara ‘Yanga SC’ kuhusu usajili wa mchezaji Bruno Gomez Baroso. Taarifa zilizokuwa…
Soko la madini Chunya lakusanya kilo 250-300 kwa mwezi
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Mbeya Tangu kuanza kwa utaratibu wa kuwa na masoko ya madini, Mkoa wa Mbeya umepata mafanikio makubwa kupitia soko la madini la Chunya ambapo kwa sasa zinakusanywa Kilo 250 – 300 za dhahabu kwa mwezi ikilinganishwa na kilo…
DC Moyo kufanya msako shuleni kuwabaini wanafunzi waliowekewa vijiti
Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mohamed Hassan Moyo amewataka wanawake kuacha tabia ya kuwawekea vijiti vya uzazi wa mpango watoto mwenye umri wa chini ya miaka 18 kufanya hivyo sawa na ukatili wa kijinsia. Akizungumza wakati mkutano wa hadhara katika…
Tuzo za NSCA kwa wanamichezo kutolewa Ijumaa
Na Tatu Saad,JamhuriMedia Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa kushirikiana na Baraza la Michezo Tanzania ‘BMT’ linategemea kutoa tuzo kwa wana michezo mbalimbali Ijumaa Machi 17,2023. Tuzo hizo zijilikanazo Kama National Sports Council…
Malezi yazingatie maadili ya Mtanzania
Na Eleuteri Mangi, JamhuriMedia,Dodoma Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo inawasisitiza wazazi, walezi na walimu kuzingatia maadili katika malezi ya watoto nyumbani,shuleni na vituo vya malezi ili kutoa huduma ya malezi kwa watoto kwa kuzingatia maadili ya Mtanzania. Hayo yamesemwa…