Category: Habari Mpya
Serikali yatoa kibali cha ajira mpya 13187 Wizara ya Afya
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, amesema katika kukabiliana na changamoto ya sasa ya uhaba wa Watumishi, Serikali imetoa kibali cha kuajiri jumla ya Watumishi 13,187 katika Sekta ya Afya huku pia ikichukua hatua ya kutekeleza mwongozo…
TRA, ZRA waweka mikakati kuimarisha utendajikazi mpaka wa Tanzania, Zambia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tunduma KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alphayo Kidata na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Zambia (ZRA), Dingani Banda wameweka mikakati ya kuimarisha utendaji kazi wa mpaka wa Tanzania na Zambia, Tunduma ili…
Maeneo yaliyoathiriwa na mvua barabara Dar -Mtwara yote ni shwari
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara Barabara ya Dar es Salam Lindi -Mtwara sasa imerejea katika hali ya kupitika baada ya kukamilika urejeshaji wa mawasiliano katika maeneo yote yaliyokuwa yamekatika. Mvua kubwa zilizoambata na Kimbunga Hidaya ziliharibu miundombinu ya barabara hiyo…
ACT Wazalendo – Upotevu wa maji utafutiwe mwarobaini
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha ACT Wazalendo kimeishauri Serikali kufanya ukaguzi na ukarabati wa miundombinu ya maji ikiwemo mita, mabomba, matanki, ili kuzuia upotevu wa maji na kudhibiti mifumo ya maji taka yanayovuja ovyo hali itakayopelekea wananchi…
Mkurugenzi akerwa damu kuhifadhiwa kwenye jokofu la matumizi ya nyumbani hospitalini Tanga
Mkurugenzi wa huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe Ofisi ya Rais-TAMISEMI Dkt. Rashid Mfaume amekerwa na kitendo cha uhifadhi damu kwenye jokofu la matumizi nyumbani . Hayo yamebainika katika Hospitali ya halmashauri ya mji Korogwe Magunga wakati wa ziara…
Utaratibu wa bima ya afya ni wa kuchangiana sio msaada – Serikali
Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema kuanza kutekelezwa kwa Bima ya Afya kwa wote itakuwa suluhisho la kudumu la kurahisisha upatikanaji wa huduma za Afya kwa makundi yote nchini ikiwemo wanafunzi Kauli hiyo imebainishwa na Naibu Waziri wa Afya, Dkt….