JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Madereva wa malori wachapwa viboko na kuporwa fedha Njombe

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Njombe Malori kadhaa yaliyokuwa yakitoka vijijini kubeba mizigo mbalimbali katika maeneo ya Luponde Halmashauri ya Mji wa Njombe yametekwa na watu wasiofahamika na kuwachapa viboko madereva ili kuwashinikiza kutoa fedha. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa Polisi…

Tanzania yapeleka msaada wa chakula Malawi

Jumla ya Tani 1000 za unga wa mahindi zimetolewa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikiwa ni miongoni mwa misaada mbalimbali ya kibinadamu kwa nchi ya Malawi iliyoathiriwa na kimbunga Freddy ili kuisaidia nchi hiyo kukabiliana janga hilo….

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini yaipongeza Serikali kwa uwekezaji

Na MayLoyce Mpombo,JamhuriMedia,Kinyerezi Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeipongeza Serikali kwa utekelezaji wa miradi ya kimkakati ya kuzalisha umeme inayoitekeleza kupitia TANESCO ambayo inakwenda kuondoa changamoto za umeme na kukuza uchumi wa nchi. Pongezi hizo zilitolewa…

Majaliwa :Nendeni mkasimamie ajenda za kitaifa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Wilaya nchini wakasimamie ajenda za kitaifa ikiwemo ya mapambano dhidi ya rushwa. Amewataka pia wasimamie changamoto za upatikanaji wa ajira, kudhibiti vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na watoto, kusimamia uoto wa asili…

Mama Janeth Magufuli atoa msaada kwa wanafunzi

Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli, uongozi wa wilaya katika picha ya kumbukumbu na wawakilishi wa watu wenye ulemavu waliokabidhiwa baiskeli za magurudumu…

Mabula awataka Ma-DC kuanzisha rejista ya migogoro ya ardhi

Waziri wa ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angelina Mabula amewataka Wakuu wa Wilaya nchini kuhakikisha kila Halmashauri inakuwa na rejista ya migogoro ya ardhi ili kujua chanzo chake pamoja na mikakati ya utatuzi wa migogoro hiyo kila inapojitokeza….