JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Mabucha ya nyama yabainika kufanya udanganyifu kwenye mizani Dar

Wakala wa Vipimo Mkoa wa Dar es Salaam imeendeshaukaguzi wa kushtukiza kwenye maduka ya kuuzia nyama kwa lengo la kujiridhisha kama vipimo vinatumika kwa usahihi. Takribani maduka 21 yamekaguliwa na mabucha manne yamebaini kufanya udanganyifu kwa kutokutumia vipimo kwa usahihi…

Rais Samia awataka wanawake kupaza sauti na kukemea changamoto zinazowakabili

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wanawake kupaza sauti kwa pamoja na kukemea changamoto zinazowakabili wanawake wa Tanzania katika nyanja mbalimbali bila kujali itikadi zao. Rais Samia ametoa wito huo jana wakati akihutubia katika…

Serikali yaandika historia nyingine Rufiji

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Wilaya ya Rufiji mkoani Pwani imeandika historia mpya, ,baada ya Serikali kupitia Wakala wa barabara Tanzania (TANROADS) kuingia mkataba na Kampuni ya China Railways Seventh Group Limited kutekeleza ujenzi wa barabara ya Utete -Nyamwage km.33.7 . Aidha…