JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Mahakama yamwachilia huru aliyetuhumuwa kumuua ya askari

Na Tatu Saad, JAMHURI MEDIA Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Imemwachilia huru Amani Philipo Mkazi wa Mbezi Dar es Salaam aliyefunguliwa mashitaka ya mauaji kwa kukusudia ya sajent Mensah wa kituo Cha polisi mabatini,kijitonyama. Uamuzi huo umetolewa Leo Machi 20,…

Rais Samia atoa milioni 878.4 kuboresha mifugo nchini

Na Edward Kondela,JamhuriMedia Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi David Silinde amesema katika kipindi cha miaka miwili tangu Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aingie madarakani, serikali imenunua madume ya ng’ombe ya kisasa 366 yenye thamani ya Silingi Milioni 878.4…

Serikali yawataka wadau sekta ya mawasiliano kuziteketeza taka hatarishi

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Serikali imewataka wadau wa sekta ya mawasiliano kuzitunza na kuziteketeza taka hatarishi zinazotokana na vifaa vya kielektroniki kwa sababu taka hizo hatarishi zimekuwa zikiongezeka hali inayopelekea hatari za kiafya kwa watumiaji wa bidhaa hizo. Akizungumza na waandishi…