JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Serikali yadhamiria kuachana na matumizi ya kuni,mkaa

Waziri wa Nishati,January Makamba ameeleza kuwa, Juni mwaka huu utafanyika uzinduzi wa kitaifa wa Dira ya Taifa ya kuhamia katika matumizi ya nishati safi ya kupikia na Mpango Mkakati wa utekelezaji wa Dira hiyo ambayo itaainisha masuala mbalimbali ikiwemo hatua…

Kamati ya kuchakata data za hali ya hewa duniani yakutana Tanzania

Tanzania imekuwa mwenyeji wa mkutano wa Kamati ya Kuchakata Data za Hali ya Hewa Duniani, lengo ikiwa ni kuhakikisha data za hali ya hewa zinatumika ipasavyo na taasisi za hali ya hewa katika nchi wanachama wa Shirika la Hali ya…

Mchungaji afunga kanisa baada ya kushinda Mil.100 za betting

Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIA Mchungaji mmoja kutoka nchini Uganda amefunga kanisa lake baada ya kushinda sh. Milioni 100 kwenye mchezo wa bahati nasibu (betting). Machi 16, mwaka huu, mtandao mmoja Uganda ulichapisha taarifa za mchungaji huyo akieleza kuwa ameamua…

Rais wa Kenya asema hakuna mtu aliye juu ya sheria

Rais William Ruto amesema kwamba hatakubali “kutoijali nchi” baada ya maandamano ya ghasia kukumba mji mkuu, Nairobi na mji wa magharibi wa Kisumu. Maandamano hayo yaliandaliwa na mwanasiasa wa upinzani Raila Odinga ambaye analaumu sera za serikali kwa kuzidisha kupanda…

Serikali yashauriwa kuanzisha barabara za kulipia tozo

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu yaishauri Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kuanza na mfumo wa barabara zenye tozo katika mradi wa ujenzi wa barabara njia nane kutoka Kimara Jijini Dar es Salaam hadi Kibaha mkoa wa…