Category: Habari Mpya
Wawekezaji 23 waonesha nia kuwekeza katika Kongani ya kisasa ya viwanda Pwani
Na Jacquiline Mrisho- MAELEZO Jumla ya wawekezaji wapatao 23 kutoka nchi za Uganda, Kenya, India, Uturuki, China, Sudan, Falme za Kiarabu, Pakistan, Zambia na Tanzania waliotembelea kujionea maendeleo ya ujenzi wa Kongani ya Kisasa ya Viwanda iliyopo katika eneo la…
Apandishwa kizimbani akituhumiwa kutapeli Mil.105/-
Na Tatu Saad, JAMHURI MEDIA Mshtakiwa Abubakar Hassan (66) anayekabiliwa na mashitaka manne ikiwemo la kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu pamoja na kughushi, amesomewa hoja ya awali katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu. Mshitakiwa huyo amesomewa hoja za awali…
Hakielimu yaiomba Serikali kiswahili kiwe lugha ya kufundishia
Na Mussa Augustine Taasisi ya Hakielimu imeiomba Serikali kurejea upya mapendekezo yanayotolewa na wadau wa elimu kuhusu matumizi ya lugha ya kiswahili kama lugha ya kufundishia ngazi ya sekondari. Rai hiyo imetolewa leo Machi 22,2023 na taasisi hiyo kupitia Mkurugenzi…
Serikali kushirikiana na wadau kukabiliana na ugonjwa wa kifua kikuu
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Serikali imedhamiria kuendelea kushirikiana na wadau katika sekta zote ili kudhibiti na kutokomeza ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB) ifikapo mwaka 2030. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi…
Kimbuga Freddy chauwa zaidi ya watu 100 Malawi, Msumbiji
Malawi ndio nchi iliyoathirika zaidi na kimbuga hicho, ambapo watu hadi sasa 99 wamepoteza maisha yao kufuatia maporomoko ya udongo yaliyosomba nyumba kadhaa nchini humo. Kamishna katika Idara ya Kukabiliana na Majanga Charles Kalemba amewaambia waandishi wa habari kuwa, wanatarajia…
Serikali yadhamiria kuachana na matumizi ya kuni,mkaa
Waziri wa Nishati,January Makamba ameeleza kuwa, Juni mwaka huu utafanyika uzinduzi wa kitaifa wa Dira ya Taifa ya kuhamia katika matumizi ya nishati safi ya kupikia na Mpango Mkakati wa utekelezaji wa Dira hiyo ambayo itaainisha masuala mbalimbali ikiwemo hatua…