JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Dkt.Mpango ataka barabara ya Kabingo-Kasulu-Manyovu kukamilika kwa wakati

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ameitaka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kuhakikisha ujenzi wa barabara ya Kabingo-Kasulu-Manyovu yenye urefu wa kilometa 260.6 unakamilika kwa wakati na ufanisi uliokusudiiwa. Amesema hayo Wilayani Kasulu alipokutana…

Balozi Uholanzi ampongeza Rais Samia kufungua milango kwa vyombo vya habari

Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania, Wiebe de Boer amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa hatua ya kufungua milango kwa vyombo vya habari na kutakiwa kufanyakazi bila woga. Balozi Boer ametoa kauli hiyo alipokutana na viongozi wa Jukwaa la Wahariri Tanzania…

Ripoti:Kulikuwa na uzembe wa marubani ajali ya ndege ya Precision

Ripoti ya pili ya ajali ya Ndege ya Precision Air iliyotokea tarehe 6 Novemba ,mwaka 2022 katika Ziwa Victoria, Bukoba, Mkoa wa Kagera na kusababisha vifo vya watu 19 na wengine 24 kuokolewa imeseka kuwa kulikuwa na uzembe wa marubani….

Mchengerwa: Tumejipanga kuitangza Tanzania kimatifa

Na Mwandishi Wetu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mohamed Mchengerwa (Mb) amesema Wizara yake imejipanga kuitangaza Tanzania duniani kwa kutumia mikakati mbalimbali ikiwa ni pamoja na timu za mpira wa miguu za kimataifa ili kuvuka lengo la idadi ya watalii milioni…

EAC kuja na mkakati udhibiti taka za kielektroniki

Nchi wanachama wa Nchi za Afrika Mashariki zimekubaliana kuja na mkakati wa miaka mitano ya kupunguza taka za kieleketroniki na kuendelea kutoa elimu kwa wananchi wa nchi hizo ya namna bora ya kukabiliana na taka hizo ikiwemo kuteketeza na kuzitupa…

RC Tabora aagiza wakurugenzi kusimamia ununuzi wa dawa

Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri Mkoani Tabora wameagizwa kusimamia kikamilifu mfumo wa Ugavi wa bidhaa za afya ikiwemo ukaguzi wa mara kwa mara katika vituo vya kutolea huduma kwa ajili ya kupunguza changamoto zinazotokana na Usimamizi mbovu. Kauli hiyo imetolewa leo…