JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

TMA yaiwakilisha vema Tanzania mkutano wa tathmini ya mabadiliko hali ya hewa na tabianchi

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dkt. Ladislaus Chang’a, ambaye pia ni Afisa Kiungo wa Tanzania katika Jopo la Kimataifa la Sayansi ya Mabadiliko ya Hali ya Hewa na Tabianchi (Intergovernmental Panel…

Majaliwa:Agizo la Rais halipingwi na yeyote

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema agizo la Mheshimiwa Rais halipingwi na mtu yeyote na akawataka watumishi wa umma kote nchini wazingatie hilo. “Agizo la Rais likishatolewa halipingwi na mtu yeyote, kinachofuata ni utekelezaji na siyo kukaa vikao na kupitisha maamuzi…

Rais amteua Wasira kuwa mwenyekiti wa bodi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Stephen Wassira kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA), kwa kipindi cha pili cha miaka minne baada ya kipindi cha kwanza kumalizika; na Amemteua…

NMB yatoa msaada wa milioni 39 sekta ya elimu Kanda ya Kati

Benki ya NMB imetoa msaada vifaa mbalimbali kwa sekta za elimu na afya vyenye thamani ya shilingi milioni 39 kwa Wilaya za Kanda ya Kati zikiwemo Mpwapwa, Kondoa na Chemba ikiwa ni utekelezaji wa sehemu ya dhamira yake ya kurudisha…

Rais mpya wa Nigeria aenda Uingereza ‘kupumzika’

Rais mteule wa Nigeria Bola Tinubu amesafiri hadi Ufaransa na Uingereza “kupumzika” na kupanga mpango wa mpito kabla ya kuapishwa kwake Mei 29. Tunde Rahman, msemaji wa Bw Tinubu, katika taarifa yake Jumatano alisema kuwa mteule aliondoka nchini Jumanne. Kwa…