Category: Habari Mpya
Wiki ya Tathmini na Ufuatiliaji itumike kuongeza ufanisi utendaji shughuli za Serikali -Dkt. Yonazi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dodoma Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi amesema Wiki ya Ufuatiliaji, Tathmini na Kujifunza itumike katika kuongeza Ufanisi na Utendaji wa Shughuli za Serikali ili kuhakikisha kunakuwa na matokeo chanya…
Biteko : Wekeza katika utafiti kuchochea maendeleo
📌Rais Samia atunukiwa tuzo kwa mchango wake Sekta ya Afya 📌NIMR yapongezwa kwa ushawishi wa utafiti kimataifa 📌Serikali yatoa kipaumbele tafiti za kisayansi 📌Vituo vya utafiti vyaaswa kushirikiana kuboresha utafiti Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati…
Wananchi Iringa watakiwa kulinda miundombinu ya barabara kwa matumizi endelevu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Iringa Wananchi mkoani Iringa wamehimizwa kuilinda na kuitunza vema miundombinu ya barabara ili iwe endelevu na wanufaike nazo kwa muda mrefu kwa maendeleo yao na Taifa kwa ujumla. Rai hiyo imetolewa na Meneja wa TARURA mkoa…
CTI na wanachama wajadili utitiri wa tozo
Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia, Dar es Salaam MHADHIRI wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, shule Kuu ya Biashara (UDBS), Patrolik Kanje, ameshauri utitiri wa tozo za mamlaka ya udhibiti zipunguzwe ili kuwapunguzia mzigo wazalishaji wa bidhaa nchini. Alitoa ushauri…
Tanzania yaongoza kikao cha wataalamu Afrika kuhusu nishati safi ya kupikia
Na Mwandishi Wetu Tanzania imeongoza kikao cha wataalamu kutoka mataifa mbalimbali barani Afrika kujadili kuhusu vipaumbele vya sera katika masuala ya nishati safi ya kupikia ili kuja na azimio litakalopitishwa na wakuu wa nchi husika barani humo. Kikao hicho kimefanyika…