JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

DC Jokate azuru Afrika Kusni kutangaza zao la mkonge

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Mkuu wa Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga Jokate Mwegelo amezuru nchini Afrika kusini wiki hii kutangaza umuhimu wa Vijana wa Afrika kushiriki katika Ujenzi wa Afrika. Lengo kuu la ziara hiyo ni kutangaza zao la Mkonge na…

Mahakama yatupilia mbali kesi iliyokuwa ikimkabili Kigogo wa PSSSF

Na mwandishi wetu, JAMHURI MEDIA Mahakama ya Wilaya ya Ilala imetupilia mbali kesi iliyokuwa ikimkabili aliyekuwa Meneja wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi Umma (PSSSF) Rajabu Kinande na Wenzake wanne,waliokuwa wakituhumiwa kwa makosa tofauti ikiwemo kuvunja duka la Mohamed Soli…

Majaliwa:Uwepo wa reli ya SGR ni fursa kwenu wana-Malampaka

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa wilaya ya Maswa mkoani Simiyu watumie uwepo wa reli ya kimataifa (SGR) kama ni fursa ya kujijenga kiuchumi. Ametoa wito huo jana jioni wakati akizungumza na mamia ya wananchi na viongozi katika mkutano…

Serikali yasema Programu atamizi ya CBE suluhisho tatizo la ajira

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Serikali imewahamasisha vijana kujiunga na program atamizi inayotolewa na Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), ili wapate ujuzi wa biashara na hatimaye kuwa wafanyabiashara wazuri wanapomaliza elimu ya vyuo. Wito huo umetolewa leo jijini Dar es Salaam…

Polisi wazingira mitaa ya Nairobi kudhibiti maandamano

Askari wa kutuliza ghasia nchini Kenya wako katika mitaa ya mji mkuu, Nairobi, katika jitihada za kuzuia maandamano yaliyoitishwa na upinzani kuhusu gharama ya juu ya maisha na madai ya ukiukwaji wa maadili katika uchaguzi. Pia kuna idadi kubwa ya…