JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Fisi ashambulia na kujeruhi watu 10 Geita

Na Tatu Saad,JAMHURI MEDIA Watu 10 wajeruhiwa na Fisi katika kijiji cha Nyamalimbe kata ya Nyamalimbe wilayani Geita mkoani Geita. Fisi huyo aliwajeruhi raia 10 muda mfupi baada ya kumuua ng’ombe mmoja kati ya ng’ombe waliokuwa wakichungwa na watoto ambao…

Rais Samia ampokea na kuzungumza na Kamala Harris

Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amempokea na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Davi Harris mbele ya waaandishi wa habari leo Machi 30, 2023 Ikulu ya Dar…

Mvua yaikosesha mikoa 6 safari za treni

Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIA Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesitisha safari zake katika mikoa sita hapa nchini kutokana na mvua zinazoendelea kuonyesha katika maeneo mbalimbali. Mikoa itakayoathiriwa na uamuzi huo wa TRC ni Dar es Salaam kuelekea mikoa ya…

Rais Samia akipokea taarifa ya CAG na TAKUKURU

Dar es Salaam, JAMHURI MEDIA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa Mwaka 2021/2022 kutoka kwa Charles Kichere, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) pamoja…

Majeruhi ajali ya mwendokasi aruhusiwa kutoka hospitali

Na Tatu Saad JAMHURI MEDIA Majeruhi pekee wa ajali ya bus la Mwendokasi iliyotokea mnamo Februari 22 mwaka huu jijini Dar es Salaam, Osam Milanzi ameruhusiwa kutoka hospitali baada ya afya yake kuwa timamu.   Milanzi alifikishwa katika hospitali ya Taifa…