JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Wakuu wa mikoa wapigwa msasa biashara ya hewa ukaa

Na OR-TAMISEMI WAKUU wa mikoa yote Tanzania Bara wamepewa elimu juu ya biashara ya hewa ukaa nchini ambayo itasaidia kuongeza mapato na kuimarisha utoaji wa huduma kwenye mamlaka za Serikali za Mitaa. Hayo yameelezwa, jijini Dodoma katika kikao cha pamoja…

‘Sekta ya afya imepiga hatua kwenye huduma ya mionzi ‘

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) anayeshughulikia Afya, Dkt.Charles Wilson Mahera amesema kufikia mwaka 2023 jumla ya X-ray za kisasa za kidigitali 213 zimesimikwa, Utra sound 67 zimesambazwa na kusimikwa…

Rais afanya mabadiliko kwa mabalozi, Polepole apelekwa Cuba

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya vituo kwa Mabalozi wawili na uteuzi wa Balozi mmoja kama ifuatavyo: Amempangia Balozi Humphrey Herson Polepole kuiwakilisha Tanzania nchini Cuba. Kabla ya uteuzi huu Balozi Polepole alikuwa…

Ummy awajulia hali majeruhi ajali ya gesi

Na Mwandishi Wetu,Tanga Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametembelea majeruhi wa ajali ya gari iliyobeba gesi na kudondoka eneo la Kwamkono wilayani Handeni mkoani Tanga ambao wamelazwa kwenye Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Bombo. Baada ya majadiliano na…

Dkt.Mahera:Kuweni na Kauli nzuri kwa wagonjwa, ni kazi ya Mungu

Na Mwandishi wetu, JAMHURI MEDIA Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Afya Dkt. Charles Mahera amewataka wahudumu wa afya kuwa na kauli nzuri kwa wagonjwa pia amewaagiza watendaji wote katika Sekretarieti za…