JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Jafo atoa siku 30 kwa NEMC kuondosha mifuko ya plastiki

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt.Selemani Jafo ametoa siku 30 kwa Mameneja wa Kanda zote wa Baraza la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kuendesha kampeni za kuondosha mifuko ya plastiki isiyoruhusiwa…

Bei ya petroli yashuka

Na Mwandishi Wetu ,JamhuriMedia Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya za ukomo wa mafuta ya petroli,dizeli na mafuta ya taa huku bei ya bidhaa hizo ikipungua ikilinganishwa na mwezi Machi. Mabadiliko haya ya…

MSD:Hatuagizi barakoa nje ya nchi tena

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Bohari ya Dawa (MSD),imesema haitoagiza barakoa kutoka nje ya nchi kutokana na kiwanda kilichopo nchini kinakidhi mahitaji na tayari imeokoa bil.2.9 kwa kutoagiza kutoka nje ya nchi. Hayo yamesemwa leo Aprili 6, 2023 na Meneja kutoka Idara…

Yanga kukutana na Rivers United

Klabu ya Yanga imepangwa kundi D katika Michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika na Rivers United kutoka nchini Nigeria katika hatua ya Robo Fainali ya Michuano hiyo na itaanzia ugenini mchezo wa kwanza. Yanga SC walimaliza nafasi ya kwanza…

Msukumo wa Rais Samia Sekta ya Madini, wachangia Trilioni 1. 19/-

Imeelezwa kuwa msukumo uliowekwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu katika Sekta ya Madini umewezesha kuongeza kasi ya ukuaji wa sekta ndogo ya madini ya Viwandani ambapo katika kipindi cha miaka miwili madarakani, mchango wa…

Sabaya aachiwa huru

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Moshi Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi,imemuachia huru aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya. Sabaya amefutiwa mashtaka saba yaliyokuwa yakimkabili leo Aprili 5,2023 likiwemo la uhujumu uchumi, kuongoza genge la uhalifu na matumizi mabaya…