Category: Habari Mpya
Rais Samia atoa trilioni mbili kutekeleza miradi Ruvuma
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha miaka miwili madarakani imetoa zaidi ya shilingi trilioni mbili kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani Ruvuma. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban…
601 wafanyiwa uchunguzi na matibabu ya moyo Iringa
Jumla ya watu 601 wamefanyiwa uchunguzi na matibabu ya moyo katika kambi maalum iliyokuwa ikifanywa na madaktari bingwa wa moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa (IRRH)….
Watumishi wa umma watakiwa kufanyakazi kwa ubunifu
Na James Mwanamyoto,JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama wametoa wito kwa watumishi wa…
Wafanyabiashara watakiwa kufuata taratibu kuuza mifugo
Na Mwandishi Wetu- Jeshi la Polisi Wafanyabiashara wa mifugo nchini wametakiwa kufuata sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa za kununua na kuuza mifugo ili kuepusha changamoto ambazo zinaweza kujitokeza hususani za kununua mifugo ya wizi. Hayo yamesemwa leo Aprili 7,2023 na…
Spika Tulia atoa maagizo kwa Serikali
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Tulia Ackson,ameitaka Serikali kupitia Wizara za Afya, TAMISEMI pamoja na Ofisi ya Rais UTUMISHI kuangalia upya utaratibu wa utoaji wa ajira kwa watumishi ikiwa ni pamoja na kutoa kipaumbele kwa watu…
Ukaguzi wa CAG waonyesha upotevu wa mabilioni ya fedha za umma
Taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali imebaini mapungufu na hasara lukuki ambazo zimekuwa zikisababishwa changamoto za uendeshaji na hivyo kusababisha taasisi au shirika kupata hasara ikiwemo upungufu wa maji wa kati ya asilimi 10 hadi 80…