Category: Habari Mpya
Waziri Jafo awataka wachimbaji kufuata sheria ya mazingira
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amewaasa wachimbaji wadogo wa dhahabu kutumia teknolojia mbadala wa miti katika shughuli zao. Dkt.Jafo ametoa kauli hiyo wakati akishiriki katika…
Barrick North Mara, wakandarasi wakabidhi msaada wa vifaa Tarime
Mgodi wa Dhahabu wa Barrick North Mara na wakandarasi wake mgodini wamekabidhi msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 120 katika Kituo cha Afya Sungusungu kilichopo Nyamongo wilayani Tarime. Hafla ya kukabidhi msaada huo imefanyika katika…
Rais Samia apongezwa kuchukua hatua ripoti ya CAG
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Rais Samia Suluhu Hassan amemwagiwa sifa na wananchi na viongozi mbalimbali ndani na nje ya nchi kwa kuchukua hatua za haraka na madhubuti kushughulikia uzembe na ubadhirifu wa pesa za umma uliobainishwa kwenye ripoti ya Mdhibiti…
CAG abaini madudu ukaguzi wa REA 2015/16-2019/20
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amebaini kuwepo kwa mapungufu ya utandaji umeme vijijini na kuashiria kuwepo kwa mianya ya ubadhirifu wa fedha. Hayo yamebainika katika ripoti yake ambapo katika ukaguzi Mamlaka ya Nishati Vijijini…
Mwenyekiti auawa kwa tuhuma za wivu wa mapenzi Chato
Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Chato Wakati waumini wa dini ya kikristo duniani wakiendelea kusherehekea Sikukuu ya Pasaka, huko wilayani Chato mkoani Geita kumetokea mauaji ya mwenyekiti wa kitongoji cha Mwabazengi, Kata ya Muungano, Robert Msodock, baada ya kukutwa akiwa na…
CHADEMA: Tunahitaji hatua zaidi ripoti ya CAG
Na Tatu Saad, JamhuriMedia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimechambua ripoti ya CAG ambapo wamesema Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kutengua uteuzi wa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA), haitoshi bali hatua zaidi zinatakiwa kuchukuliwa….