Category: Habari Mpya
Halmashauri Bagamoyo yahitaji madawati 7,000 kwa sekondari, msingi- DED Selenda
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Bagamoyo HALMASHAURI ya wilaya ya Bagamoyo, Mkoani Pwani inakabiliwa na changamoto ya upungufu wa madawati 7,000 katika shule za msingi na sekondari. Kutokana na mahitaji ya madawati hayo inahitajika kiasi cha sh.milioni 350 ili kuondokana na…
Mbunge Rweikiza asimama bungeni kupigania mradi wa maji Kemondo-Marufu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mbunge wa Jimbo la Bukoba Vijijini mkoani Kagera Dkt. Jasson Rweikiza Jana Jumanne Mei 14, 2024 amesimama Bungeni Jijini Dodoma kuhoji Wizara ya Maji kwanini mradi mkubwa wa maji wa Kemondo- Maruku umechelewa kuanza huku…
Watumishi FCC wapata mafunzo kuendesha uchumi kwa njia ya kidijitali
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,¹Dar ea Salaam WATUMISHI wa Tume ya Ushindani (FCC) wamepatiwa mafunzo maalum ya kidijitali juu ya kuendesha masoko ya uchumi na biashara kwa njia ya mtandao. Mafunzo hayo ya siku moja, yamefanyika katika ofisi ya FCC Dar…
Rais Mwinyi kufungua mkutano wa masuala ya anga wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kesho
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar RAIS wa Zanzibar Dk Hussein Ali Mwinyi anatarajia kufungua Mkutano wa sita wa masuala ya anga wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kesho visiwani Zanzibar ambao utajadili mambo mbalimbali ikiwemo masuala ya usalama wa anga. Akizungumza…
Mfumo SADC Med database (SMD) wazinduliwa kusaidia sekta ya afya
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es Salaam Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SAC sekta ya afya wamekubaliana wanakuza mashirikiano ya pamoja kupitia bohari zao za dawa kutumia mfumo wa SADC Med Database (SMD) kufanya manunuzi ya bidhaa za…
Elimu inayotolewa na TAWA yamwokoa mwananchi mdomoni mwa mamba
Na Mwandishi Wetu, JamuhuriMedia, Mwanza Mkazi wa Kijiji cha Kasenyi kilichopo wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza Bw. Obeid Francis (44) amenusurika kuliwa na mnyamapori aina ya mamba baada ya kuikumbuka na kuitumia elimu ya kuepuka madhara yanayoweza kusababishwa na wanyamapori…