JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Serikali yaruhusu wanafunzi 337 waliofutiwa matokeo kurudia

Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia imewaruhusu wanafunzi 337 waliofutiwa matokeo ya kidato cha nne kutokana na kufanya udanganyifu na kuandika matus kurudia tena mitihani hiyo Mei 2 mwaka huu. Hayo yameelezwa jijini Dodoma na Waziri wa Wizara hiyo,Prof Adolf Mkenda…

Taasisi za Wizara ya Maliasili zatakiwa kujitofautisha

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbasi amezitaka taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo kujitofautisha kwa kufanya kazi kwa weledi na maadili ili kuondoa dhana hasi dhidi ya Wizara hiyo aliyosema ni ya kimkakati kwa uchumi wa…

Majeruhi ajali ya fuso iliyotumbukia mtoni waruhusiwa Ruvuma

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Hali ya majeruhi wawili wa ajali ya gari iliyotokea juzi katika eneo la daraja la mto Njoka uliopo katika Kijiji cha Namatuhi Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma na kusababisha vifo vya watu 13 wameruhusiwa. Akizungumza…

Mkataba wa mchongo waitia hasara ATCL, LUKU zafuka moshi, mikoa 29 mita hazisomi mwaka mzima

Taasisi ya iliyowasilisha serikalini ankara (invoice) iliyoongezewa dola milioni 49, sawa na Sh bilioni 114 ni Wakala wa Ndege za Serikali Tanzania (TGFA), JAMHURI linathibitisha. Habari zisizotiliwa shaka kutoka vyanzo vya uhakika, zimesema TGFA ambao wana jukumu la kununua ndege…

Waziri Jafo awataka wachimbaji kufuata sheria ya mazingira

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amewaasa wachimbaji wadogo wa dhahabu kutumia teknolojia mbadala wa miti katika shughuli zao. Dkt.Jafo ametoa kauli hiyo wakati akishiriki katika…