Category: Habari Mpya
Raila Odinga aitisha mkutano kabla ya mazungumzo na serikali
Muungano mkuu wa upinzani nchini Kenya umetangaza mipango ya kufanya”mazungumzo ya moja kwa moja” na umma wakati ukijiandaa kwa mazungumzo na serikali kuhusu mageuzi kuhusu uchaguzi. Muungano huo wa Azimio la Umoja, unaoongozwa na mwanasiasa mkongwe wa upinzani Raila Odinga,…
Serikali kuajiri wataalamu wa afya 12
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema, katika mwaka 2023 Serikali imepanga kuajiri Wataalamu wa afya 12,000, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa Serikali wa kuboresha huduma kwa wananchi hasa maeneo yenye upungufu wa Watumishi na kupunguza changamoto ya…
UVCCM yawaonya vijana kuwa chawa
Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM,) Mkoa wa Njombe imeonya na kupiga marufuku vijana kuwa chawa kwa lengo la kutafuta uongozi au kipato na kuwataka kutumia njia sahihi za kupambania chama kwa kuwa kina utaratibu mzuri…
Ghasia:Ugawaji maeneo ya biashara Kariakoo kuwa wa uwazi
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Masoko ya Kariakoo Hawa Abdulrahman Ghasia amesema bodi hiyo imejipanga kuhakikisha mradi wa ukarabati na ujenzi wa soko la Kariakoo utakamilika ndani ya muda wa mkataba na kwa ubora ambapo ugawaji wa…
Serikali yatangaza kusitisha matumizi ya kuni na mkaa kwa taasisi
Na Robert Hokororo, JamhuriMedia, Dodoma Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais imezitaka Taasisi zote za Umma na Binafsi Tanzania Bara zinazoandaa chakula na kulisha watu zaidi ya 100 kwa siku kusitisha matumizi ya kuni na mkaa ifikapo Januari 31,…
Mpango: Viongozi wa dini endeleeni kuliombea taifa na viongozi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip Mpango na mkewe mama Mbonimpaye Mpango wameungana na waumini wengine katika kushiriki Ibada ya kawaida ya asubuhi katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Fransisco Nzavery -Nyakahoja Jijini Mwanza. Ibada iliyoongozwa…