Category: Habari Mpya
Kazikazi chapokea pikipiki zenye gharama za milioni 30/-
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia ,Chalinze Kikundi cha bodaboda cha Kazikazi, Kata ya Lugoba ,Chalinze, Bagamoyo Pwani, kimekabidhiwa pikipiki kumi zilizogharimu milioni 30, kutoka Halmashauri ya Chalinze. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Chalinze, Hassan Mwinyikondo aliwaasa vijana kujiunga katika vikundi ili waweze…
Sharubu za Simba zairarua Yanga 2-0
………………………………………………………………………………. Simba SC wameizamisha Yanga SC katika mchezo wa Ligi Kuu baada ya kuichapa mabao 2-0 Ligi Kuu ya NBC uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Simba SC walianza kwa kasi ya ajabu na mnamo dakika ya…
Julio: Nina matumaini mechi zilizobaki za KMC
Kocha Mkuu wa KMC,Jamhuri Khiwelu, ‘Julio’ amesema kuwa ana matumaini makubwa ya kuongeza ari kwenye mechi ambazo zimebaki. Julio amechukua mikoba ya Hitimana Thiery ambaye alifikia makubaliano ya kuvunja mkataba na timu hiyo kutokana na mwendo mbovu. Mchezo wa mwisho…
Aweso amtengua mkurugenzi Mamlaka ya Maji Korogwe
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amefika wilayani Korogwe Mkoa wa Tanga na kupokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Jokate Mwegelo kwa Ziara ya kikazi akiwa na lengo la kutatua changamoto mbalimbali na kufuatilia hali ya Utekelezaji wa Miradi…
Waziri Mkuu ataka viongozi wa dini kusimamia haki
Na Munir Shemweta, JamhuriMedia,Mwanza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kasim Majaliwa amewataka viongozi wa dini nchini kuhakikisha wasimamia haki na kuienzi na kusimamia amani kwa manufaa ya wananchi wa sasa na vizazi vijavyo. “Niwasihi sana ninyi viongozi…
Rais Samia:Sherehe za Muungano zifanyike katika ngazi ya mikoa
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza maadhimisho sherehe za miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yafanyike katika ngazi ya mikoa kwa kufanya shughuli mbalimbali za kijamii na kiuchumi Hayo yamesemwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa jana Jumamosi (Aprili…