JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Bunge lapitisha bajeti ya ofisi ya Rais-TAMISEMI trilioni 9.1

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha bajeti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI),Tume ya Utumishi wa Waalimu, Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa mwaka wa Fedha 2023/2024 shilingi Trilioni 9.1…

Kamati kutathmini utekelezaji wa diplomasia ya uchumi yaanza kazi rasmi

Kamati iliyoundwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Samia Suluhu Hassan kutathimini utendaji kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeanza kazi rasmi kwa kukutana na Waziri wa Wizara hiyo,Dkt. Stergomena Tax jijini…

Kanisa Mlima wa Moto waendeleza maono ya Hayati Dk.Rwakatare

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Askofu Mkuu wa Kanisa la Mlima wa Moto, Mikocheni jijini Dar es Salaam, Bishop Rose Mgeta amesema Kanisa hilo litaendelea kutekeleza maono ya Mwanzilishi wa Kanisa hilo, Hayati Askofu Dk Getrude Rwakatare kutimiza maono yake kama…

Biteko:Tusigawanyike katika dini zetu

Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe ameshiriki katika Futari na baadhi ya wakazi wa wilaya ya Bukombe mkoani Geita Aprili 18, 2023. Akizungumza katika hafla hiyo Dkt.Biteko amewataka wananchi wa Bukombe kuungana…

Halmashauri kutenga fedha za magonjwa ya mlipuko

Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Chato Serikali kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO),limezitaka halmashauri nchini kutenga bajeti kwa ajili ya kukabiliana na magonjwa ya mlipuko badala ya kutegemea Serikali Kuu pekee. Hatua hiyo itarahisisha jamii kukabiliana na milipuko hiyo…

Ubalozi wa Marekani watoa mbinu kwa Jeshi la Polisi

Ubalozi wa Marekani umetoa mafunzo kwa askari wa Jeshi la Polisi nchini ya namna ya kukabiliana na matukio ya kughushi nyaraka mbalimbali ikiwemo hati za kusafiria(Pass Port) ambapo mafunzo hayo yamehusisha wakufunzi kutoka chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es…