Category: Habari Mpya
Uwekezaji Bandari Kavu Kwala unavyochangia kuimarisha mapato TPA, kuongeza ushindani
Na Stella Aron, JamhuriMedia, Pwani Moja ya changamoto kubwa zilizokuwa zinaikabili Bandari ya Dar es Salaam kuanzia miaka ya 2008 ni msongamano wa meli uliotokana na mrundikano wa Shehena katika Bandari ya Dar es salaam. Plasduce Mbossa ni Mkurugenzi Mkuu…
Waziri Ndejembi aipongeza NSSF kwa kuongeza kasi ukuaji wa mfuko huo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu), Deogratius Ndejembi ameupongeza Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa kazi ambayo imekuwa ikifanya na kushuhudia kasi ya ukuaji wake….
Rais Samia akutana na Rais Ufaransa Ikulu Paris
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Ikulu ya Paris nchini Ufaransa kwa ajili ya mazungumzo na Mwenyeji wake Rais wa nchi hiyo Emmanuel Macron tarehe 14 Mei, 2024Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…
Nchi za Kanda ya Afrika Mashariki zasisitizwa ushirikiano kukabiliana na hali mbaya ya hewa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Jaji Mshibe Ali Bakari ametoa rai kwa wataalamu kutoka nchi za Kanda ya Afrika Mashariki kuboresha ushirikiano ili kuweza kukabiliana na changamoto…
Tanzania, Ufaransa zasaini tamko la Paris
Tanzania na Ufaransa zimesaini Tamko la Paris (Paris Declaration) katika kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia na kiuchumi uliopo baina ya nchi hizo mbili. Tamko hilo limesainiwa leo tarehe 14 Mei, 2024 jijini Paris Ufaransa na Waziri wa Mambo ya Nje na…
Mchengerwa : Tutawachukulia hatua watumishi wanaokiuka sheria ukusanyaji mapato
OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema serikali haitavumilia ukiukwaji sheria na hatua kali zitachukuliwa kwa watumishi watakaobainika kukiuka sheria kwenye ukusanyaji mapato ya serikali. Mhe.Mchengerwa ameyasema hayo…