Category: Habari Mpya
Mabula: Jumbe 84,000 zatumwa kwa wadaiwa kodi ya pango ya ardhi
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk.Anjelina Mabula,amesema Wizara imefanya maboresho katika mfumo mzima wa utunzaji kumbukumbu za ardhi, utozaji wa kodi na utoaji wa huduma za Sekta ya Ardhi. Waziri Mabula ameyasema hayo leo Aprili 21,2023 jijini…
Mwasa: Jela miaka saba ukibainika kuharibu vyanzo vya maji
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Fatma Mwassa amewataka wakazi wa mkoa huo kuwa walinzi na kuheshimu mipaka ya hifadhi ya vyanzo vya maji na kwamba serikali itawachukulia hatua kali za kisheria wale wote watakao husika…
RPC Shinyanga:Tusherehekee sikukuu ya Eid El Fitri kwa utulivu
Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga limewataka wananchi kusherehekea Sikukuu ya Eid El Fitri kwa amani na utulivu huku likiwaasa wazazi kutowaruhusu watoto wao kwenda kwenye kumbi za starehe kwani kumbi hizo zipo kwa ajili ya watu wazima na si…
Maambukizi ya ugonjwa wa malaria yashuka kwa asilimia 10
Kutokana na jitihada mbalimbali zinazofanywa na serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali maambukizi ya ugonjwa wa malaria nchini Tanzania umeshuka kutoka asilimia 18.1 kwa mwaka 2018 hadi kufikia asilimia 8.1 kwa mwaka 2022. Hali hiyo imetokana na juhudi mbalimbali zinazofanywa…