Category: Habari Mpya
Sekta ya utalii yaunganishwa na mifumo ya kielektroniki ya utoaji leseni
Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imeunganisha mifumo ya utoaji leseni katika Sekta ya Utalii kupitia mfumo wa kieletroniki wa MNRT – Portal kwa lengo la kuongeza tija katika utoaji wa huduma na kurahisisha mchakato wa utoaji wa leseni…
Waziri Jafo awasilisha hotuba ya bajeti
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amewasilisha bungeni Hotuba ya Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa mwaka 2022/23 na 2023/24 na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2022/23….
Mafanikio ya STAMICO yamkosha Msajili Hazina
Msajili Mkuu wa Hazina, Nehemiah Mchechu amelipongeza Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) baada ya uongozi wake kufanikiwa kuleta mageuzi makubwa na kulifanya shirika kuanza kuzalisha faida. Hatua hiyo inakuja wakati mwaka jana shirika hilo ambalo lilifikisha miaka 50 tangu…
Namtumbo waipata tano Serikali kwa upatikanaji huduma za upasuaji
Wananchi wa Wilaya ya Namtumbo wameishukuru Serikali kwa kuwezesha upatikanaji wa huduma za upasuaji kwa akina mama wajawazito wanaopata changamoto za kujifungua,huduma ambayo imeanza miezi sita iliyopita. Wananchi hao wameeleza kuwa awali, huduma za upasuaji kwa ajili ya uzazi zilikuwa…
Wadau wa habari wawafuata wabunge Dodoma
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Baadhi ya wadau wa mchakato wa mapendekezo ya mabadiliko ya sheria ya habari wamewasili mkoani Dodoma kwa nia ya kukutana na wabunge ili kufafanua mapendekezo ya vipengele vya sheria viliyoachwa kwenye muswada wa habari uliowasilishwa…